Asernal wamezima ndoto za Manchester United kukaa kileleni baada ya kukubali kichapo kikubwa ndani ya uwanja wa Emirate Sanchez akifunga mara mbili dakika ya 6 na 19 huku Ozil akifunga moja dakika ya 7.Nakuifanya Asernal kukwea hadi nafasi ya pili nyuma ya Man u.


No comments:
Post a Comment