Wayne Rooney afanya kweli nje ya uwanja apiga tatu kwa Coleen
Katika siku za karibu Rooney ameonekana kutokufanya vizuri uwanjani ila nje ya uwanja anafanya kweli.Coleen ni mjamzito wa mtoto wao wa tatu ambaye inasemakana atakuwa ni msichana.Big upRooney jaza dunia.
No comments:
Post a Comment