MICHAKATO Blog
Pages - Menu
(Move to ...)
About Us
Home
▼
Monday, November 2, 2015
MVUA ZALETA BALAA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA
Mvua zimeleta balaa katika uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kufurika kiasi kikubwa eneo kubwa la kiwanja hicho.Hali hiyo inaweza sababisha safari za ndege kuelekea au kutoka hapo kusitishwa hadi hali itakapokuwa shwari.
Sehemu ya Uwanja wa Ndege iliyojaa maji.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment