MIAKA MINNE YA UCHUMBA SUGU IMEKWISHA LAMPARD AMUOA CHRISTINE
Ni miaka minne tangu nguli wa soka wa England Frank Lampard walipoanza mapenzi na rafikia yake ambaye jana alikuwa mke kamili baada ya kufunga ndoa na mtangazaji Christine katika kanisa la Mtakatifu Paul jijini London.
No comments:
Post a Comment