JENIFER LOPEZ BADO BOMBA UMRI NI NAMBA TUU NA HANA MPANGO WA NDOA
Mwanamama Jenifer Lopez akiwa na umri wa miaka 46 bado anaonekana mtamu au mrembo hasa.Hasa alipotokea kwenye kipindi cha Ellen na kukiri kuwa hana mpango wa kufanya sherehe ya ndoa na mpenzi wake Casper Smart kwa sasa.Ni mwendo wa bata tuu.
No comments:
Post a Comment