Man city jana walifanikiwa kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Swansea baada ya kupata bao la pili katika dakika za nyiongeneza baada ya Gomiz kusawazisha lakini Toure alifunga bao la ushindi.
Fe
llain akishangilia goli la kusawazisha.
Manchester United ilishindwa kufurukuta tena jana na kukubali kichapo cha 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth.
Muuaji wa Man u akishangilia goli.
MATOKEO YA MECHI ZA JANA
SAT 12 DEC 2015 - PREMIER LEAGUE
No comments:
Post a Comment