Muigizaji nguli Eddie Murphy(54) anategemea kupata mtoto wa tisa katika maisha yake na mpenzi wake Paige Butcher(36).Mtoto huyo anatarajiwa mwezi wa tano mwaka 2016.Eddie Murphy ana watoto wengine nane kutoka kwa wanawake wanne tofauti akiwemo muimbaji wa zamani wa kundi la Spice girls Mel B.Anasema kwake sio shida bado wako vizuri na watoto wote hao ambayo wanakutana katika kipindi cha mapumziko katika jumba lake hivyo wako vizuri.
Mradi wa CERA kutafiti mbegu za Mpunga unaohimili Mabadiliko ya tabianchi
Afrika.
-
Na: Calvin Gwabara – Morogoro.
Wakulima wa kilimo cha mpunga kinachotegemea mvua nchini wamewashukuru
watafiti wa Mradi wa Mpunga Himilivu kwa Mabadilik...
3 hours ago






0 comments:
Post a Comment