Mkali wa Tenkomiles toka Nigeria yupo jijini Dar tayari kuwasha moto katika tamasha la mkesha wa mwaka litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Kingsolomoni.Jamaaa akiwa anatamba na wimbo wake wa DURO.
Hakika si pakukosa ili uwezw kufunga mwaka 2015 vizuri kwa burudani kutoka kwa mkali huyo huku tiketi ni 40,000/= kabla ya saa tisa na baada ya hapo ni 70000/=.
DRC Yatinga kombe la Dunia baada ya miaka 50, Tuanzebe shujaa dhidi ya
Jamaica
-
*Guadalajara, Mexico — Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(DRC) imeandika historia mpya kwa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa mara
ya pi...
1 hour ago






0 comments:
Post a Comment