Rais Kikwete anatarajia kuzindua onesho la utalii la Swahili International Expo ambalo linatalajiwa kuanza Oct Mosi hadi 3 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani city.Onesho hili linakuwa ni la pili baada ya lile la eawali kufanyika mwaka jana 1-4-2014 na liliweza kuvuta waonyeshaji 40 na mawakala 19 wa utalii(Hosted buyers).Jumla ya wageni 1200 waliweza kuhudhuria huku mdhamini mkuu akiwa Ethiopian Airline. Onesho la mwaka huu linatarajiwa kuwa na waonyeshaji takriban 100 huku wageni wanatarajiwa kuongeza kufika 2000.Bidhaa mbalimbali zitaonyeshwa kama,Tingatinga,Wachongaji vinyago,Vikundi vya burudani muziki(utalii bend),kikundi cha utamaduni kutoka chuo cha Tumaini(Arusha) Tanzania Tourist Board(TTB) imetoa wito kwa watanzania kuwa ma mwako mkubwa kwa mawak huu kutembelea maonyesho hayo kama njia nzuri ya kutambua na kujifunza mambo mengi kwani wadau wa utalii wenye uzoefu watakuwepo.
Rais Ruto aomboleza Kifo cha Mbunge wa Ol Kalou
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Rais wa Kenya, William Ruto, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo
cha Mbunge wa Jimbo la Ol Kalou, David Njuguna Kiaraho, akie...
2 hours ago







0 comments:
Post a Comment