Kwa hakika ligi ya VPL msimu wa 2015/2016 ni raha tu,imekuwa na msisimko wa juu huku timu nne Yanga,Azam,Simba na Mtibwa zikiwa katika viwango vya juu.Azam,Simba,Yanga jana zilitoa dozi na kujiongezea point kuelekea katika kunyakuwa ubingwa wa VPL 2015/2016.Matokea ya jana yalikuwa YANGA 2 MTIBWA 0 -UWANJA JAMUHURI MOROGORO SIMBA 1 STANDA UNITED 0 -UWANJA WA TAIFA AZAM 2 COASTAL UNION 0 -UWANJA CHAMAZI COMPLEX
DC MANGOSONGO AAGIZA KUTENGWA MAENEO MAALUM YA MALISHO NA CHANJO KWA MIFUGO
-
Mwamvua Mwinyi, Mafia, Septemba 25,2025
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya
hiyo kutenga maeneo maalum kwa ajili ya...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment