MICHAKATOBLOG ni blog iliyoanzishwa 10-10-2015 ikiwa na malengo yafuatayo;
Kuelimisha/kufundisha
Kuburudisha
Kuhabalisha
Kutaarifu
Katika matukio mbalimbali yanayougusa jamii zetu kisiasa, kiuchumi na kijamii kitaifa na kimataifa.
MMILIKI
MICHAKATOBLOG inamilikiwa na Augustine Joachim May Kajembe,kitaaluma ni mwadhiri(kwa sasa katika chuo cha uhasibu,CBE-Dar es salaam) na mwasibu mwenye Msc degree in Accounting & Finance, Bachelor Degree in Business Administration(Accounting) na Diploma in Education .Augustine anamudu kufanya kazi mbalimbali zinahusu taaluma alizozitaja hapo juu kama
Utafiti (Research)
Ukaguzi (Auditing)-
Ushauri {consultancy}-Dissertation, Proposal,
Huduma kwa wateja (Customer care)
Seminar na Training (kufundisha).
Kuandaa vitabu vya kihasibu.
MAWASILIANO
Ukiwa kama mdau unaweza wasiliana nasi na ukiwa na
Taarifa/Habari zinazogonga vichwa vya habari duniani.
Maoni kuhusu blog hii(kuboresha zaidi)
Katika Nyanja mbalimbali zilizo aanishwa katika malengo yetu kwa
Nambari ya simu:+255 (0) 713 813 368 au +255 (0) 753 831 090
Barua pepe:aumay75@yahoo.com

0 comments:
Post a Comment