NACTE imesogeza muda wa kudahili wanafunzi wanao jiandaa kujiunga na vyuo vikuu ili kuwapa muda zaidi wanafunzi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa 25-10-2015.Hivyo imetoa wito kwa vyuo vyote ambavyo vipo chini yake vifungwe kwa wiki mbili kuwapa wanafunzi muda wa kujiandaa kupiga kura.Sasa wanafunzi wataendelea kujisajili kupitia mfumo wa CAS mpaka 16-10-2015 na vyuo kufunguliwa Novemba haya yameelezwa leo na Kaimu Katibu Mtendaji NACTE Bw. Adolf Rutaiyuga
TBS Kanda ya Dar es salaam yateketeza bidhaa hafifu tani 50
-
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza jumla ya tani 50 za bidhaa
hafifu zenye thamani ya shilingi milioni 525, ambapo kati ya hizo tani 40
zimeish...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment