Hali ikiwa bado si shwari sana visiwani Zanzibar huku tarehe ya uchaguzi ikiwa imeshatolewa na Tume ya Uchaguzi.CUF wakitoa tamko la kutoshiriki uchaguzi huo bado ni tamko tete hasa hasa.Huku baadhi wanasheria wakitoa mitazamo hayo juu ya hii.
Jambo la msingi ni kupata hekima na busara baina ya pande zote zinazosuguana kwani haki isipotendeka lolote baya laweza tokea.Haya yote kwa maono yangu yatafikia tamati kama sheria itaingilia kati katika kupata haki kati ya hizi pande mbili ili mgogoro huu unaoendelea uweze kupita salama.