Mwigizaji maarufu na mshindi wa Oscar kutokea Kenya Lupita Nyongo ameendelea kuwa headline pale alipoonekana akiwasili katika Public Theater kwa ajili kuendelea kurekodi sehemu ya mchezo wake huko New York,akiwa amevaa gauni fupi la papo huku miguu yake mizuri ikionekana na kuwa na mvuto balaaa.
Huyo ndio Lupita Nyongo akieendelea na yake huko Marekani.
0 comments:
Post a Comment