Sunday, November 22, 2015

BAADA YA ZANZIBAR HEROES KUPIGWA NA BURUNDI LEO ZAMU YA KILIMAJARO STARS CECAFA

Mashindano ya CECAFA yanayoendelea nchini ETHIOPIA jana yalianza na kushuhudia Zanzibar Heroes wakitunguliwa na Burundi kwa goli moja lilofungwa na Didier Kavumbagu dk 39 yamchezo.Mchezo huo ni wa Group B

Tokeo la picha la zanzibar heroes images

Zanzibar Heroes

Leo ni zamu ya ndugu zao ambao watapepetana na Somalia katika mchezo wa Group A.

Tokeo la picha la kilimanjaro stars

King Kibade kocha wa Kilimajaro Stars






EDDIE MURPHY HAPA KAZI TU

Muigizaji nguli Eddie Murphy(54) anategemea kupata mtoto wa tisa katika maisha yake na mpenzi wake Paige Butcher(36).Mtoto huyo anatarajiwa mwezi wa tano mwaka 2016.Eddie Murphy ana watoto wengine nane kutoka kwa wanawake wanne tofauti akiwemo muimbaji wa zamani wa kundi la Spice girls Mel B.Anasema kwake sio shida bado wako vizuri na watoto wote hao ambayo wanakutana katika kipindi cha mapumziko katika jumba lake hivyo wako vizuri.


Things that go bump in the afternoon: Paige Butcher wore a skintight dress for a coffee date with her boyfriend Eddie Murphy on Saturday in Los Angeles

RAISI MAGUFULI KASI 180 KUPUNGUZA MATUMIZI YASIO NA TIJA TENA SERIKALINI

Baada ya Rais Magufuli kufuta utaratibu wa sherehe za wabunge na kuweka bajeti ndogo kabisa katika tafrija hiyo iliyokuwa itumbue zaidi milioni 235 na kuhamishia fedha zote katika kununu vitanda vya wagonjwa pale Muhimbili agizo ambalo limeshafanyiwa kazi na vitanda vimeshanunuliwa na vinaendelea kufungwa tayari kuwwapatia wagonjwa wanaolala chini.

Wakati huhuo Raisi amekata safari ya viongozi walitarajia kwenda kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola kwa taarifa safari hiyo ingeweza kuwa na gharama ya milioni 700 kama viongozi wote wangeenda na badala yake ni viongozi wanne walioruhusiwa kwenda.

Tokeo la picha la images of magufuli

Saturday, November 21, 2015

FC BARCELONA YAIFANYIA KITU MBAYA REAL MADRID MBELE YA MASHABIKI MILIONI 400

FC Barcelona wakicheza katika kiwango cha juu kabisa waliweza kuwafunga kwa jumla ya magoli manne wapinzani wao Real Madrid huku Ronaldo,Bale wakiwa hawana jipya katika mechi hiyo kubwa inayotazamwa na mamilioni ya watu duniani kote.Wafungaji walikuwa ni Luis Suarez dk 11,74 ,Neymar dk 39' na Iniesta dk 53'.

Lionel Messi

Iniesta na Messi wakishangilia

Luis SuarezSuarez na Neymar wakishangilia ushindi

Thursday, November 19, 2015

HUYU NDIYE MTUHUMIWA WA MASHAMBULIZI YA KIGAIDI YA PARIS

ISIS' Abdelhamid Abaaoud wanted dead even his own family after Paris Attacks

Abdelhamid Abaaoud miaka 27 ambaye ndio mshutumiwa wa mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea mjini Paris-Ufaransa ambapo takribani zaidi ya watu 150 wanahofiwa kufa,amekuliwa Brussels ambako Baba yake alikuwa mfanyabiashara huko kabla ya kujiunga na ISIS alikuwa ni kijana mzuri ambaye hata majirani walikuwa wanamsifia kabla ya kugeuka na kuwa muuaji katika umri wa miaka 20 alipojiunga na ISIS.

HATIMAYE KASSIM MAJALIWA NDIYE WAZIRI MKUU WA TANZANIA


Tokeo la picha la images of majaliwa
Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania mweshimiwa Dkt John Joseph Pombe Magufuli amemteua Ndugu Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu mteule.Kwa ufupi Waziri mteule aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Tamisemi na pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa,kitaaluma ni mwalimu na pia aliwahi kushika nyadhifa mbali mbali serikalini kama mkuu wa wilaya.Mh Majaliwa amepitishwa kwa asilimia 73% kwa kura zilizopigwa na Wabunge .
Kesho kulingana na taarifa za Mh Spika Job Ndugai waziri huyo mteule ataapishwa katika Ikulu ndogo ya Chamwino na Raisi.