Tuesday, December 8, 2015

KWA NINI ADA ELEKEZI NI MWIBA KWA SHULE BINAFSI

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Ufundi Stadi imetoa maelekezo kuhusu utozaji wa ada katika shule binafsi.Katibu Mkuu Prof Mchome ameeeleza kuwa hakuna shule binafsi itakayoruhusiwa kuongeza ada kuanzia mwaka 2016 huku ada elekezi kwa kutwa ziwe 150,000 na 380,000 kwa bweni.
Tamko hilo limekuwa MWIBA mkali kwa shule nyingi za binafsi ambazo zimekuwa zikitoza ada kubwa na kuuacha watanzania wakilalamika kwa muda mrefu.Sasa kikao kimebadilika wamiliki wamekuwa juu kuhusu kushusha gharama hizi.Jambo la kujiuliza kuna unalala wa shule hizi kutoka ada hizo kubwa kwa takwimu viwango vimekuwa vikubwa mpaka baadhi ya shule zikitoza  kiasi cha milioni 3 kwa mwaka  ni kiwango kikubwa mno.Kupunguzwa huku ni faraja kubwa kwa wazazi ila kwa upside wa pili ni pogo.Hivyo serikali inapaswa  kutengeneza uwiano kwa panda zote ili kila moja anufaike na kuondoa manukuniko.Naamin

0 comments:

Post a Comment