Yanga imefanikiwa kurudi kileleni baada ya kuifunga Kagera Sugar 2-0,Donald Ngoma dakika 23 na Desu Kaseke dakika 62 wakifunga kila mmoja.
Ngoma akishangilia na kocha wake
Deus Kaseke leo amefunga goli lake la kwanza katika ligi.
Simba leo imewapa raha mashabiki wao baada ya kuifunguka Maji Maji idadi kubwa ya magoli 6-1.Alikuwa Ajib alifunga hat-tick dakika ya 8,11 na 42,Hamisi Kiiza alifunga dakika 37 na 80 na Tshabalala dakika 79.Huku Maji Maji ikipata goli kupitia kwa Nchimbi dakika ya 88.
Ajib shujaa wa Simba
Diego(Kiiza)akishangilia goli.
Vitambulisho vipya vya JAB ni Hatua ya Kuimarisha Taaluma ya Uandishi wa
Habari
-
*Na Mwandishi Wetu, JAB*
*Vitambulisho vipya vya kidijitali vinavyoendelea kutolewa na Bodi ya
Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) vimepokelewa kwa fura...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment