Lugha ya kiingereza bado imekuwa mtihani mkubwa katika elimu ya Tanzania na hii inaweza kuonekana katika ngazi zote za elimu nchini Tanzania bado uelewa na ufaulu wake umekuwa mdogo sana.
Matokeo ya darasa la nne yametoka na soma ambalo wanafunzi wamefanya vibaya ni somo la Kiingereza ambapo ufaulu wake ni asimilia ndogo chini ya 60 ukilinganisha na masomo mengine yenye ufaulu wa zaidi ya asilimilia 80.
0 comments:
Post a Comment