DiGea akiangalia goli la Newcastle
Manchester baada ya kupata ushindi wiki iliyopita katika FA cup jana gonjwa lake la kukosa ushindi limeendelea baada ya kupata sare ya 3-3 dhidi ya Newcastle United.Rooney akifunga mara mbilli 9' na 79 ' na Lingard 38' kabla ya Newcastle kujibu mapigo Wijnaldum 42 Mitrovic 67′ na Dummet 90'.
Aston Villa imepata ushindi wake wa pili katika Ligi kuu kupiitia kwa Lescott 58' ,Licha ya Bournemouth kuanza kushinda ilishuhudia ikipata kichapo kutoka kwa West Ham.
Mpango akerwa na Wasiotumia Mfumo wa e-GA,Awataka kuingia kwenye Mfumo huo
Haraka.
-
Na Jane Edward, Arusha
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametoa rai kwa mamlaka ya
serikali mtandao (e-GA) kukamilisha mchakato wa kusani...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment