Mwanamama Jenifer Lopez akiwa na umri wa miaka 46 bado anaonekana mtamu au mrembo hasa.Hasa alipotokea kwenye kipindi cha Ellen na kukiri kuwa hana mpango wa kufanya sherehe ya ndoa na mpenzi wake
Casper Smart kwa sasa.Ni mwendo wa bata tuu.
Dkt. Nchimbi Akabidhiwa Ofisi Rasmi na Dkt. Mpango
-
*Na Mwandishi Wetu, Dodoma*
*Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi, amekabidhiwa rasmi Ofisi ya Makamu wa Rais k...
2 hours ago






0 comments:
Post a Comment