Man united imefungwa goli moja na Southamphton,Liverpool imeipiga Norwich City 5-4 katika mechi tamu Lallan ndio alikuwa kinara baada ya kuifungia goli la tano.Leicester imerudi kileleni baada ya kuifinguka Stoke City 3-0.Watford imeifunga Newscastle 2-1.Tottenham imeifunga Crystal Palace 3-1.AFC Bournemouth na Sunderland 1-1 na Aston Villa na WBA.
UHIFADHI WA MIKOKO WAPEWA MSUKUMO MPYA TANGA
-
Na Oscar Assenga,TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian, amewataka wananchi
kuacha ukataji holela wa mikoko na kushiriki kikamili...
8 hours ago






0 comments:
Post a Comment