Hamna anayeweza amini kwa nini Deo ameondoka mapema.Marehemu Dr Remmy Ongola aliimba akilalama kifo hakina huruma.Ni kweli DEo mauti yamemfika jana baada ya chopa iliyombeba kuanguka katika hifadhi ya Selous.Hakika LUDEWA na Watanzania watakukumbuka daima jembe lao hakika hakuna wa kuzuia kifo.Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihidimie lala salaam kaka Deo.
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA GHANA MHE. JOHN MAHAMA
-
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
,leo tarehe 07 Januari 2025 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania...
4 hours ago
0 comments:
Post a Comment