Tuesday, March 1, 2016

WALIMU KUFUTIWA NAULI DAR NI MOJA YA HATUA YA KUBORESHA AU CHANGAMOTO MPYA

Kuanazia leo lile tamko la Mkuu wa wilaya Bwana Makonda kuwa walimu katika wilaya Kinondoni wataweza kupanda mabasi bure kuanzia saa kumi na moja mpaka saa mbili na saa tisa mpaka kumi na moja jioni.Wengi wametoa maoni yao kuwa ni hatua nzuri katika kuboresha na kujali taaluma hii ambayo bado haina kipao mbele kikubwa katika nchi yetu licha ya kuwa ni nguzo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote duniani.Kwa miaka mingi kumekuwa na vilio juu ya maslahi...