Friday, October 23, 2015

MWISHO WA KAMPENI ZOTE LEO PATA RATIBA YA VYAMA VYOTE HAPA

Amsha amsha zote kuuhusiana na uchaguzi mkuu tamati yake ni leo vyama vyote vya siasa kulingana na ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi vitahitimisha kampeni zao leo katika maeneo mbali mbali nchini ili kuwapa fursa sasa Wananchi watumie muda wao kuchagua viongozi baada ya kusikiliza sera kwa takribani miezi miwili mizima kampeni hizo zilianza 22-8-2015 hadi 24-10-2015 tunatumaini watu wamesikiliza mengi na waataamua kwa busara ili kutekeleza kiu ya ya mabaadiliko kama ilivyo kuwa kauli kwa kila mgombea akiamaanisha Tanzania inahitaji mabadiliko.

K

0 comments:

Post a Comment