Friday, November 6, 2015

MAGUFULI BILA VING'OLA ATINGA WIZARA YA FEDHA

Katika hali isiyo ya kawaida Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika siku yake ya kwanza baada ya kuapishwa alifanya ziara ya ghafla katika wizara ya Fedha.Raisi alieenda mbali mpaka kugagua kitabu cha mahundurio -ATTENDANCE BOOK na kubaini baadhi ya wafanyakazi walikuwa nje ya ofisi.

Tunaamini hakuna maendeleo bila ya kufanya kazi kwa bidii,tunamuomba Raisi asiishie hapo kupitia wasaidizi inapaswa kujua pia mfumo mzima wa utoaji wa huduma unakuwaje maana ni shida kupata huduma nzuri kwa mtu wa kawaida kwa ofisi nyingi za serikali.Pongezi kwake na aeendelee na kazi ya kuwahudumia watanzania.

Tokeo la picha la images of magufuli wizara ya fedha

0 comments:

Post a Comment