Saturday, March 24, 2018

EGYPT YAFAA KWA PORTUGAL

Licha ya kuanzaa kufunga Egypt ilijikuta inalala kwa 2-1 mbele ya C7 kupiga bao la ushindi dakika za mwi...

Friday, September 2, 2016

SIKIA HII YA RAISI WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI

Katika hali ambayo haikutarajiwa Raisi amewesahii wale wote ambao wameficha mapesa wakiogopa wanaweza kugundulika baada ya kuzipata kwa njia ambazo sio halali hasa kwa msemo wa mjini KUPIGA DILI wameaswa wazitoe ziingie kwenye mzuko.Kwani kwa mamlaka aliyonayo anaweza amuru kuchapisha fedha mpya mara moja ili aweze kuwazibiti wenye fedha hizo haramu. ...

Wednesday, June 29, 2016

YANGA HOI MBELE YA TP MAZEMBE

Licha ya kuonyesha kandanda safi katika kipindi cha kwanza timu ya Dar Young Africans ilishindwa kupata matokeo na kuruhusu goli katika kipindi cha pili.Kipigo hicho ni cha pili kwa Yanga hivyo kuifanya kushika mkia katika kundi.Bope ndio alikwamisha bao ktk dk 73....

Thursday, May 12, 2016

UKAWA UKOSOAJI JUU YA MWENENDO WA SERIKALI UENDELEEE

Hakika UKAWA hawana budi kuendelea kuikosoa serikali ya  Raisi John Pombe Magufuli kwani ndio kazi yao itakuwa kitu cha ajabu kwa chama cha upinzani kushabikia au kuridhika na mwenendo wa serikali kwani kazi yao kama chama cha upinzani itakuwa haina maaana.Kwa kufanya hivyo itaifanya serikali iliyo madaraki isibweteke ni vyema kuendelea kufanya hivyo ili serikali iweze kutambua mapungufu na kufanya marekebisho adri iwezekanavyo.Lakini wananchi...

Monday, May 9, 2016

HUJUMA HIZI SI ZA KUZIACHIA HATA KIDOGO

Wananchi wa Tanzania kwa takribani mwezi mzima wamepata taabu kubwa baada ya sukari kuadimika.Hii imekuja baada matamko ya serikali baada ya kutoa bei elekezi na kusitisha vibali vya uwagizaji bidhaa hii.Baadala ya kutafuta njia mbadala na zilizosahihi wafanya biashara wakaficha sukari wakidhani serikali ingerudi nyuma.Kibao kimewageukia na njama zao potofu hakika rai yangu serikali isimame imara na isirudi nyuma kwa hili,kuteseka huku ni kwa muda...

TODAY'S MESSAGE

The best way to motivate yourself is to stop stressing about what'll happen when things go wrong and start thinking about how awesome life will be when they go right. ...

Friday, April 15, 2016

DIDIER DROGBA NDANI YA TUHUMA YA UFISADI KUPITIA MFUKO WAKE

Didier Drogba foundation imeingia katika kashfa nzito za matumizi yasiyoeleweka kwa hela ambazo zilichangwa kwa makusudi ya kutengeneza hospitali ya kisasa katika jiji la Abijan lengo ni kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali ya afya.Vyanzo vinasema ni hela takriban Pound 1.7 milioni zilichangwa na watu maarufu  wachezaji mbali mbali wa Chelsea John Terry,Cole,Lampard na wengine kama David Beckham lakini hadi sasa ni Pound 14,115 tu ndio zilizotumika...