Mtoto wa Kaka mchezaji wa kimataifa wa Brazili katika hali isiyo ya kawaida kwenye uwanja wa mazoezi ya wa timu ya Brazili,mtoto alionyesha kipaji cha hali ya juu baada ya kumpiga chenga ya mwili beki huyo nguli wa Brazili kabla ya kufunga goli safi kabisa ama kweli mtoto wa joka ni joka.
Luca akifanya yake mbele ya David Luiz
Luca akifunga goli safi
NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI
-
Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda
mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa
Chama Cha...
54 minutes ago
0 comments:
Post a Comment