Tuesday, November 17, 2015

MAGUFULI AWASILI DODOMA NA JINA LA WAZIRI MKUU MPYA

Raisi John Pombe Magufuli jana aliwasili Dodoma kwa kutumia usafari ya barabara huku akitarajiwa kuwa safari hiyo mahususi ni kupeleka jina la Waziri Mkuu mtarajiwa ili likapigiwe kura na Wabunge tayari kwa kuanza kazi.

Watanzania wamekuwa na shauku kubwa kufahamu ni nani atakuwa Waziri Mkuu chini ya Raisi Magufuli wapo ambao wamebashiriwa lakini siri itafichuka kesho pale Spika wa Bunge Job Ndugai atakapo litaja jina la Waziri Mkuu huyo.Ni matumaini ya Watanzania kuwa watapewa jembe ili matarajio ya maendeleo wanayoyatamani yafanikiwe.

Tokeo la picha la images of magufuli

0 comments:

Post a Comment