Friday, September 2, 2016

SIKIA HII YA RAISI WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI

Katika hali ambayo haikutarajiwa Raisi amewesahii wale wote ambao wameficha mapesa wakiogopa wanaweza kugundulika baada ya kuzipata kwa njia ambazo sio halali hasa kwa msemo wa mjini KUPIGA DILI wameaswa wazitoe ziingie kwenye mzuko.Kwani kwa mamlaka aliyonayo anaweza amuru kuchapisha fedha mpya mara moja ili aweze kuwazibiti wenye fedha hizo haramu. ...

Wednesday, June 29, 2016

YANGA HOI MBELE YA TP MAZEMBE

Licha ya kuonyesha kandanda safi katika kipindi cha kwanza timu ya Dar Young Africans ilishindwa kupata matokeo na kuruhusu goli katika kipindi cha pili.Kipigo hicho ni cha pili kwa Yanga hivyo kuifanya kushika mkia katika kundi.Bope ndio alikwamisha bao ktk dk 73....

Thursday, May 12, 2016

UKAWA UKOSOAJI JUU YA MWENENDO WA SERIKALI UENDELEEE

Hakika UKAWA hawana budi kuendelea kuikosoa serikali ya  Raisi John Pombe Magufuli kwani ndio kazi yao itakuwa kitu cha ajabu kwa chama cha upinzani kushabikia au kuridhika na mwenendo wa serikali kwani kazi yao kama chama cha upinzani itakuwa haina maaana.Kwa kufanya hivyo itaifanya serikali iliyo madaraki isibweteke ni vyema kuendelea kufanya hivyo ili serikali iweze kutambua mapungufu na kufanya marekebisho adri iwezekanavyo.Lakini wananchi...

Monday, May 9, 2016

HUJUMA HIZI SI ZA KUZIACHIA HATA KIDOGO

Wananchi wa Tanzania kwa takribani mwezi mzima wamepata taabu kubwa baada ya sukari kuadimika.Hii imekuja baada matamko ya serikali baada ya kutoa bei elekezi na kusitisha vibali vya uwagizaji bidhaa hii.Baadala ya kutafuta njia mbadala na zilizosahihi wafanya biashara wakaficha sukari wakidhani serikali ingerudi nyuma.Kibao kimewageukia na njama zao potofu hakika rai yangu serikali isimame imara na isirudi nyuma kwa hili,kuteseka huku ni kwa muda...

TODAY'S MESSAGE

The best way to motivate yourself is to stop stressing about what'll happen when things go wrong and start thinking about how awesome life will be when they go right. ...

Friday, April 15, 2016

DIDIER DROGBA NDANI YA TUHUMA YA UFISADI KUPITIA MFUKO WAKE

Didier Drogba foundation imeingia katika kashfa nzito za matumizi yasiyoeleweka kwa hela ambazo zilichangwa kwa makusudi ya kutengeneza hospitali ya kisasa katika jiji la Abijan lengo ni kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali ya afya.Vyanzo vinasema ni hela takriban Pound 1.7 milioni zilichangwa na watu maarufu  wachezaji mbali mbali wa Chelsea John Terry,Cole,Lampard na wengine kama David Beckham lakini hadi sasa ni Pound 14,115 tu ndio zilizotumika...

Tuesday, March 1, 2016

WALIMU KUFUTIWA NAULI DAR NI MOJA YA HATUA YA KUBORESHA AU CHANGAMOTO MPYA

Kuanazia leo lile tamko la Mkuu wa wilaya Bwana Makonda kuwa walimu katika wilaya Kinondoni wataweza kupanda mabasi bure kuanzia saa kumi na moja mpaka saa mbili na saa tisa mpaka kumi na moja jioni.Wengi wametoa maoni yao kuwa ni hatua nzuri katika kuboresha na kujali taaluma hii ambayo bado haina kipao mbele kikubwa katika nchi yetu licha ya kuwa ni nguzo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote duniani.Kwa miaka mingi kumekuwa na vilio juu ya maslahi...

Monday, February 8, 2016

Hili la Zanzibar linahitaji hekima ya juu lifikie mwafaka

Hali ikiwa bado si shwari sana visiwani Zanzibar huku tarehe ya uchaguzi ikiwa imeshatolewa na Tume ya Uchaguzi.CUF wakitoa tamko la kutoshiriki uchaguzi huo bado ni tamko tete hasa hasa.Huku baadhi wanasheria wakitoa mitazamo hayo juu ya hii. Jambo la msingi ni kupata hekima na busara  baina ya pande zote zinazosuguana kwani haki isipotendeka lolote baya laweza tokea.Haya yote kwa maono yangu yatafikia tamati kama sheria    itaingilia...

Arsenal hawako tayari kiakili kushinda taji la Uingereza-Thiery Henry

Nguli wa Arsenal Thiery Henry anapata wasiwasi juu ya mwenendo wa timu yake ya zamani kama kweli ipo imara kifikra katika kugombea kombe la ligi kuu ya Uingereza.Mwenendo wa Arsenal umekuwa wa kususua na kupata matokeo yasiyo na uhakika.Hii inamsikitisha kwani anaona Leicester wana nguvu kifikra katika kutaka kuchukua kombe ila kwa Arsenal kuna walakini kidogo.Tuone katika mechi zijazo nini kitatokea. ...

Tuesday, January 26, 2016

JE WAJUA ADEBAYOR KALA SHAVU CRYSTAL PLACE

Emmanuel Adebayor raia wa Togo hatimaye amepata timu tena baada ya kukaa kwa kipindi kirefu maana ya kuachana na Tottenham.Sasa ni mali ya Crystal Palace.Hii ni baada ya Alan Pardew (Kocha)kudhibitisha hilo kuwa anamuhitaji Emma katika timu hiyo. ...

Sunday, January 24, 2016

ARSENAL KURUDI KILELENI LEO DHIDI YA CHELSEA

Asernal inaweza kurudi kileleni itakapo kutana na Chelsea kwenye dimba la Emirates.Arsenal ambayo inatabiriwa kuwa inaweza kubeba kombe msimu huu baada ya kulikosa kwa zaidi ya miaka 10.Mechi inatarajiwa kuanza saa moja kwa majira ya Afrika Mashariki. kKikosi cha Arsenal-(P.Cech,P Mate,L KoScielny,N Monreal,H Berlin,M Ozil,A Ramsey,A Sanchez,M Flamini,J Campell,O Giroud Chelsea:T Courtois,B Ivanovic,K Zouma,J Terry,C Azpilicueta,C Febregas,J...

Saturday, January 23, 2016

MAN U CHALII,LIVERPOOL BALAA,LEICESTER KILELENI TENA

Man united imefungwa goli moja na Southamphton,Liverpool imeipiga Norwich City 5-4 katika mechi tamu Lallan ndio alikuwa kinara baada ya kuifungia goli la tano.Leicester imerudi kileleni baada ya kuifinguka Stoke City 3-0.Watford imeifunga Newscastle 2-1.Tottenham imeifunga Crystal Palace 3-1.AFC Bournemouth na Sunderland 1-1 na Aston Villa na W...

C.RONALDO MARUFUKU KWENDA MOROCCO KUMTEMBELEA MSHIKAJI WAKE

C.Ronaldo amepigwa marufuku na Raisi wa Real Madrid F.Perez  kwenda Morocco kumtembelea rafiki yake Badr Hari.Perez amekwenda mbali anaweza kuomba wa Mfalme wa Morocco na rafiki Mohamed VI ili kumjulisha kama Ronaldo atakwenda huko. Kitendo hicho cha C Ronaldo kwenda morocco kilishuhudia kiwango chake kushuka sana katika kipindi kifupi....