Kwa hakika ligi ya VPL msimu wa 2015/2016 ni raha tu,imekuwa na msisimko wa juu huku timu nne Yanga,Azam,Simba na Mtibwa zikiwa katika viwango vya juu.Azam,Simba,Yanga jana zilitoa dozi na kujiongezea point kuelekea katika kunyakuwa ubingwa wa VPL 2015/2016.Matokea ya jana yalikuwa
YANGA 2 MTIBWA 0 -UWANJA JAMUHURI MOROGORO
SIMBA 1 STANDA UNITED 0 -UWANJA WA TAIFA
AZAM 2 COASTAL UNION 0 -UWANJA CHAMAZI COMPLE...