Katika hali ya kusikitisha albino waishio mpakani mwa Tanzania na Kenya wamelazimika kukimbilia Kenya kuhofia kutumia kama chambo na wanasiasa wa Tanzania katika kipindi hichi cha uchaguzi ili kuweza kushinda katika nafasi zinazotarajiwa kupigiwa kura 25-10-2015.Huku ikikadiriwa zaidi ya albino 35 kuwa wamekimbia na hii imekuja baada ya Mr Encok(albino)kushambulia na watu na kuacha na majeraha.Tatizo hili limekuwa lina shamiri sana toka 2000 mpaka sasa zaidi ya 75 wameshauwa kwa imani hii licha ya asasi nyingi kutoa elimu kuhusu albinism watu wameeendelea kuwa wakatili huku wakiamini watafanikiwa katika mambo kama watatumia viungo vya albino.Ni wakati sasa wakuwajali ndugu zetu na kuwalinda wito kwa serikali ichukue hatua kali kwa wote wanaojihusisha na imani hii potofu hasa waganga wanao toa msharti ya kupatiwa viungo vya albino.
MGOMBEA URAIS CCM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AENDELEA KUCHANJA MBUGA…
AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI MBALIZI
-
*Atoa maelekezo kwa wakulima kuendelea kujisajili katika mfumo wa kupata
Mbolea ya ruzuku,pembejeo.
*Aahidi mambo makubwa katika miaka mitano ijayo …agus...
9 hours ago
0 comments:
Post a Comment