Monday, November 30, 2015

KOBE BRYANT KAMA MICHAEL JORDAN BAADA YA MSIMU HUU 2015-2015,

Kobe Bryant amefanya uamuzi mgumu baada ya kutangaza kuwa wakati umefika wa kuacha kucheza mchezo wa kikapu kwa misimu ishirini(20) inatosha.Baada miongo miwili ya mafanikio,medali mbili za dhahabu Olimpiki,alichaguliwa mara 17katika all stars mechi,pointi 81 kwa mechi na zaidi ya akishika nafasi ya pili kama mchezaji bora wa NBA tangu ligi ianzishwe huku akifunga zaidi ya pointi 32,000.

Hakika hii inatosha kwa Kobe sasa kuachana na mchezo huu amefanya mengi na amekuwa katika kiwango cha juu kabla ya kuanza kupata majerehe ya mara kwa mara ambayo inaweza kuwa sababu pia ya kufanya maamuzi haya.

Bryant said that after 20 years of wearing the Lakers' purple and gold, he was ready to let the sport go. Here he is pictured in December 2000
Katika ubora wake mwaka 2000

NBA superstar Kobe Bryant has announced he is to retire from basketball at the end of the season
Akiongea juu ya uamuzi wake

Manchester United legend David Beckham posted this message to Bryant following his announcement
Twitt ya David  baada ya uamuzi wa Kobe

Sunday, November 29, 2015

MICHO AIPA UJIKO KILI STARS KAMA TIMU BORA,JE ITAIFUNGA ETHIOPIA KUINGIA NUSU FAINALI

Huku wakiwa na mechi ngumu kocha wa Uganda Micho amesema Kili Stars ndio Timu Bora kwa kiwango ilicho kionjesha katika hatua ya makundi kwa kufija robo fainali bila ya kufungwa.

Leo wanashuka dimbani kupambana na wenyeji Ethiopia ambao wameingia kama best losers.Itambulike Ethiopia wana timu nzuru hivyo Kili Stars haina budi kutupa raha wa Tanzania ili waweze kupata matokeo na kusonga mbele.

KILA LA KHERI KILI STARS.

Tokeo la picha la KILI STARS IMAGES

Maguli mshambuliaji wa Kili Stars

Thursday, November 26, 2015

AIBU AIBU AIBU SOKA TANZANIA

Tokeo la picha la images of tanzania soka



Mipango madhubuti ndio itakayo ikomboa Tanzania kuwa kichwa cha mwendawazimu katika soka.Kumekuwa na mipango isiyo na tija kwa muda mrefu hasa ndani ya chama cha mpira cha Tanzania.Unaweza sema mipango inayofanywa ki kwa ajili ya maslahi ya viongozi na sio katika soka.

Kamati ya ushindi ya TFF iliundwa kwa mbwembwe wengi tukatoa pongezi lakini matokeo yake imevunjwa baada ya kutolewa na Algeria sasa kama ilikuwa kwa mechi moja kuna haja ya kuwa na kamati kama hizi hazina tija kwani inasemekana imeacha deni la takribani milioni 70.

Watanzania wanapenda soka ila viongozi wamekosa mbinu na mikakati dhabiti katika kufanikisha hili.Maandalizi yao yamekuwa ya muda mfupi na yasioyo na dira.Naamini ndani ya Taifa la Tanzania lenye watu milioni 45 na ushee kupata vipaji vya watu 22 kuwakilisha Tanzania katika soka sio ndoto bali mipango hakuna.Tatizo nahisi watu wanatumia ofisi hizi kuendeleza CV zao na kupata maslahi binafsi na si kwa Taifa.Mara ya mwisho Tanzania imeshikiri katika mashindano ya mataifa katika miaka ya themanini kwa mara ya mwisho ni aibu kwa takribani miaka 35 hatuja fanikiwa tatizo liko wapi.

TFF anzeni kuwa na mipango ya dhabiti tuweze kuona mafanikio ya soka katika nchi yetu na sio ubabaishaji wa sasa.

WASOMI WAMWOMBA RAISI MAGUFULI KATIKA UONGOZI WAKE AJALI TAFITI ILI NCHI IPATE MAENDELEO YA KWELI

Wasomi wa Tanzania kwa muda mrefu wameshindwa kuhusishwa kikamili katika kusaidia nchi kupiga hatua kubwa ya maendeleo.Hii inatokana na serikali kwa kipindi kirefu kutochukua hatua ya kujali tafiti mbali mbali ambazo wana taaluma nchini wamekuwa wakizifanya lakini hazifanyiwi kazi na kubaki katika mafaili tu.

Hivyo wanataaluma wamesifia kasi ya magufuli ila wameimuomba kama atakuwa anajali na kufanyia kazi tafiti katika maeneo tofauti zinazofanya na wanataaluma wa kitanzania basi nchi inaweza kupiga hatua kubwa kimaendeleo.Kwani tafiti hizi zitatoa majibu ya matatizo yanayoikabili nchi yetu na zikifuatiliwa kikamilifu maendeleo ya uhakika yatapatikana.Kwani kwa nchi nyingi ambazo zimeweza kuendelea basi tafiti ilikuwa ni chachu ya kufikia maendeleo hayo.Raisi Magufuli chukua ushauri huyo na ufanyie kazi.

Tokeo la picha la images of research and development in africa

EUROPA MATOKEO YOTE YA MECHI ZA JANA


Tokeo la picha la EUROPA LEAGUE LOGO

EUROPA LEAGUE

SERIKALI YA AWAMU YA TANO NI NOMA

Serikali ya awamu ya tano imetoa maelekezo mengine kama hatua ya kubana matumizi baada ya kutoa tamko kuwa mwaka 2015 serikali haitaingia gharama za uchapishaji kadi za XMAS AND NEW YEAR kama ilivyozoeleka.Hivyo matumizi hayo yataelekezwa kwenye mambo muhimu ya kijamaa.Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa mawasiliano Gerson Msigwa.

Monday, November 23, 2015

CHAMPIONI LIGI RATIBA MECHI ZA LEO:ARSENAL,BARCA,CHELSEA VITANI LEO

Tokeo la picha la images of champions




KILI STARS,ZANZIBAR HEROES VITANI LEO ETHIOPIA

Wakilishi wa Tanzania Bara Kili Stars itashuka uwanjani leo saa kumi tayari kwa mechi yake ya pili dhidi ya Amavubi timu ya Taifa ya Rwandwa.Ikikumbukwa  Kili Stars katika mechi yake ya kwanza iliifunga Somalia 4-0.Ni matumaini ya Watanzania timu itaendeleza ubabe kwa Amavubi leo pia.

Wakati Zanzibar Heroes walioanza vibaya leo nao wanakibarua kingine cha kusaka pointi ili waweze kusonga hatua ya pili watakapo kutana na timu ngumu ya Uganda.

Tokeo la picha la kocha  wa zanzibar nadir haroub

Kapteni Zanzibar heroes(Nadir Cannavaro)

PAPA FRANCIS KUANZA ZIARA YA KITUME BARANI AFRIKA

Kiongozi  Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani anatarajia kuanza ziara yake barani 
Afrika kwa kudhuru Kenya.Papa Francis anatawasili Kenya siku ya Jumatano tayari kuanza kwa ziara hiyo Barani Afrika ambako atakuwa kwa siku mbili na baadaye kwenda Uganda ambako nako atakuwa kwa siku mbili hadi Novemba 29 atakapoondoka kuelekea Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Eneo la Afrika Mashariki ni eneo lenye wakatoliki wengi na katika miaka ya hivi karibuni waumini hao wamekuwa wakijadili kuhusu kile kinachoonekana kama ni mabadiliko katika sera za kikonsevativu za Kanisa Katoliki.
Papa Francis amekuwa kiongozi tofauti sana na Mapapa waliomtangulia huku akiwa na misimamo tofauti juu ya mambo mbali mbali yanayosimamiwa na kanisa katoliki mfano talaka(mchakato wake),mahusiano ya mapenzi baina ya jinsia zinazofanana.Lakini ni Papa ambaye ameweza kuwa na mvuto mkubwa kwa muda mfupi.Tumuombe ziara yake iwe na mafanikio hasa katika kuimarisha IMANI ya wauumini wa dhehebu hilo.
Tokeo la picha la papa francis
Papa Francis 

VIJANA NIA,UVUMILIVU NI DIRA YA MAFANIKIO SOMA HII KWA MBUNGE MDOGO KULIKO WOTE TANZANIA

Bi Halima A Bulembo akiwa na umri tu wa miaka 24 ameweza kuapishwa kuwa miongoni mwa Wabunge wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.Haikuwa rahisi kufika hapo kwani ni takribani zaidi miaka zaidi ya 13 ameanza siasa akiwa darasa tano 2002 akiwa amegombea  mara tisa,kushindwa mara tano na kushinda  mara tano katika nafasi ya kuwakilisha vijana.Lakini mwaka 2015 ndio amefanikiwa kuwa mbunge wa viti maalumu akiwakilisha vijana,kwa kijana ambaye hana nia na uvumilivu asingeweza kufika alipo Halima leo kwani vijana wengi wanakosa nguvu ya kuwa wavumilivu katika kutimiza ndoto zao wengi wakitamani kupata mafanikio kwa muda mfupi tu.

Halima anamekuwa miongoni mwa mifano ya kuigwa kwa vijana wengi ambayo wanachangamoto nyingi sana katika kutengeneza maisha yao.Kwani ukishindwa kuweka misingi na malengo katika umri huu uwezekano basi uwezekano wa kuwa na maisha bora mbeleni ni mdogo sana.Wito vijana tujiamini na tusimamie malengo yetu hakika tutafika tukiamini katika kujituma zaidi na kuwenga misingi,nia na malengo sahihi.


Halima Bulembo

Tokeo la picha la image of halima bulembo

Akila kiapo cha ubunge

Harsh Truths Black People Don’t Want to Hear


1. Your own jealousies, competitiveness, in-fighting, unwillingness to support one another and pettiness with other black people is what’s keeping you from moving forward. (Pssssst! White people are masters at The Brown vs. Brown Game)
2. We never learn from history because we believe:
a. That white people can change
b. That things are “getting better”
c. God will help us if we just pray and do nothing to help ourselves
d. That just because we lack the capacity for evil, others lack it too.
3. Having the latest gadget, like a 50″ flat screen TV for showing off, is more important than building stronger communities.
4. Eurocentric education is by far the worst thing that has ever happened to us:
5. No matter how big your house, how fancy your car and how expensive your jewelry, whites are not EVER going to be impressed with you or have respect for you. To them, you are just another nigger.
6. Treating each other like garbage isn’t going to win you favours with whites.
7. We kill each other because we can’t kill the enemy.
8. Most other Coloureds, especially those with direct African blood, don’t want anything to do with us for they are ashamed to be labeled with us.

9. The reason why we fight each other is because we hate ourselves.

10. Identifying with white people is the foundation for our mental illness:
11. All black people are mentally ill but we don’t want to accept it.
12. We latch on to other people’s struggles as a way to get them to accept us…which they NEVER do.

13. Black men who hate black women hate themselves.
14. Black women who hate black men have no self-respect.
15. The fact that our children are being lead astray is our fault.

16. The black church is the white man’s most effective weapon.
17. Whites despise us with a blinding passion because they need something we have:
18. We are still waiting to be told how to fix “the problem with no name” because we are too passive and complacent to figure it out ourselves 
19. Marrying/ dating and sleeping with a white person will never change the colour of your skin. Will never gain you acceptance into the White Club and will never stop them from calling you a no-good, low-down, dirty Nigger:
20. If whites had the chance, tomorrow morning slavery would be back with a vengeance…and they would make sure it remains in existence for all eternity. Accept it.
21. We have no friends/ allies on this planet.

KAMA WABUNGE WANAMITAZAMO HII TUMEKWISHA

Kumekuwa na hali ya mpasuko kati ya wabunge walioteuliwa na wananchi juu ya maslahi yao.Kama ilivyo zoeleka katika awamu ya tatu na nne wabunge wamekuwa wakilipwa hela kwa ajili kununulia mashangingi(TOYOTA LAND CRUISER).Inasemekana wabunge wamegoma posho iliyopangwa kwa magari hayo kiasi cha milioni 90 kwa kila mmoja wangine wakitoa hoja shilingi la imeshuka thamani hivyo wanapaswa kupewa milioni 130 ili waweze kununua hayo magari.

Kwa nchi maskini kama Tanzania viwango staiki ambazo wabunge wamekuwa wakilipwa ni mzigo mkubwa kwa Taifa na naweza kusema ni mdudu mbaya sana kwa maendeleo ya Taifa letu.Kuna takribani wabunge zaidi ya 350.Staiki wanazozipata  kwa maoni yangu ni nyingi kwa Taifa kama maskini kama Tanzania na kama ningepata fursa ya kuongea na rahisi maoni yangu ningesema zipunguzwe.Na ikitokea hivyo naamini vita hii itakosa msuluhishi.Nasita kunuu kauli ya Raisi Magufuli msema kweli mpenzi wa mungu wabunge waache kupigania maslahi yao watanzania tuna shida nyingi ambazo zinahitaji maarifa na uweledi wao sio tamaa za utajiri na kujilimbikizia mali katika miaka watakayo kaa bungeni.

Hivyo wanapaswa kumuweka Mungu mbele na kuonyesha uzalendo wakupunguza matumizi yasio ya lazima milioni 130 kwa mahitaji ya jamii zingetosha kuleta zahanati,shule n.k.Ombi langu waweke uzalendo mbele kwa maendeleo ya Taifa kabla wananchi kuanza kuwashangaaa.

Tokeo la picha la landcruiser v8

Tokeo la picha la landcruiser v8


Tokeo la picha la landcruiser v8

Hii ndio V8 Wabunge wanazozitaka hakika ni anasa ambayo haiendani za maisha halisi ya Mtanzania.Nia aibu Muhimbili inakosa vitanda wao wanapigania V8 huku wapiga kura wao wakisota kwa maisha duni.