Monday, January 4, 2016

BOMOABOMOA MAKAZI YA MABONDENI DAR KUENDELEA LEO

Hatimaye baada ya kusitishwa kwa bomoabomoa kwa wakazi wa mabondeni kazi inaanza tena.Baada ya Wizara kusitisha ili kuruhusu wakazi wa maeneo hayo hatarishi waweze kuondoa vitu kwa utaratibu na usalama.Licha ya pingamizi lilowekwa na wakazi hao kupinga zoezi hilo na hukumu yake inatarajiwa kutolewa leo mjira ya asubuhi.Je zoezi litaendelea au laa?



0 comments:

Post a Comment