DiGea akiangalia goli la Newcastle
Manchester baada ya kupata ushindi wiki iliyopita katika FA cup jana gonjwa lake la kukosa ushindi limeendelea baada ya kupata sare ya 3-3 dhidi ya Newcastle United.Rooney akifunga mara mbilli 9' na 79 ' na Lingard 38' kabla ya Newcastle kujibu mapigo Wijnaldum 42 Mitrovic 67′ na Dummet 90'.
Aston Villa imepata ushindi wake wa pili katika Ligi kuu kupiitia kwa Lescott 58' ,Licha ya Bournemouth kuanza kushinda ilishuhudia ikipata kichapo kutoka kwa West Ham.
WIZARA YA ARDHI YAINGILIA KATI SAKATA LA ENEO LENYE MGOGORO GEITA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa
matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibw...
3 hours ago






0 comments:
Post a Comment