Friday, October 23, 2015

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU:VIGEZO STAHIKI VYA MPIGA KURA 25-10-2015




Hivi ndio vigezo vya mpiga kura wa tarehe 25-10-2015.


  • Raia yoyote wa Tanzania aliyetimiza umri wa miaka 18 ambaye ameandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura na ana kadi ya kupigia kura, iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

  • Mkazi wa kawaida wa eneo analotaka kupiga kura.

  • Mtu ambaye jina lake limeorodheshwa katika daftari la kudumu la wapiga kura au orodha inayobandikwa katika kituo cha kupigia kura
Tokeo la picha la IMAGES OF T VOTERS TANZANIA


Tokeo la picha la PICHA YA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA TANZANIA

0 comments:

Post a Comment