Monday, January 4, 2016

UKATA WAWALIZA DADA POA(MACHANGUDOA)WASEMA KASI YA RAISI MAGUFULI NOMA

Awamu hii ya tano imekuwa ni kuteseka kwa zamu,usemi huu  unadhihirika baada ya baadhi ya madada wanaofanya kazi ya kujiuza kulalamikia kuwa baada ya serikali ya Dr Magufuli kuingia madarakani na kuanza kutumbua majibu kwa kubana mianya yote ya rushwa wateja wao nao wamepungua kwani inaonekana hela ya kufanya matanuzi kwa wafanyakazi wengi imepotea na kuwafanya dada hao kubaki bila soka.Hakika Magufuli analeta adabu wataenda kulima tuu.

0 comments:

Post a Comment