Tuesday, January 5, 2016

MAHAKAMA YABARIKI BOMOABOMOA MABONDENI NA MAENEO YA WAZI,HUKU NYUMBA 764 ZIKIPONA

Mahakama leo imetoa tamko rasmi kuhusiana na bomoabomoa,taarifa ilijiri imesema nyumba zote zilizo katika maeneo hatarishi hasa ya mabondeni zoezi la bomoabomoa liendelee kama kawa za zile za maeneo ya wazi.Hata hivyo kuna nyumba 764 ambazo zina alama ya "X "ambazo mahakama imepiga stop kwani swala bado liko mahakamani.

Tokeo la picha la ALAMA YA X KWENYE NYUMBA

Ardhi-6

0 comments:

Post a Comment