Thursday, October 22, 2015

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YALIYOJIRI: MIKUSANYIKO MAARUFUKU IMETANGAZWA NA IGP

Tokeo la picha la IMAGE YA MANGU

IGP Mangu jana alitoa taarifa kwa Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa habari kuwa ni maarufuku katika siku ya kupiga kura kuwa na mikusanyiko kwani hiyo ndio inayo sababisa uvunjifu wa AMANI.Pia amesam mikusanyiko baada ya kampeni 24-10-2015 kufungwa ni maarufuku ila wataruhusiwa baada ya matokeo ili waweze kusherekea ushindi.

HIVYO TUMEJIANDAA VIZURI KUKABILIANA NA WATU WOTE WATAKAOBAINIKA KWENDA KINYUME NA UTARATIBU-

Wananchi hatuna budi kuzingatia haya ili kujiepusha na madhara yoyote yanayoweza kutokewa baada ya agizo hili kwani nguvu inaweza kutumika katika kupinga mikusanyiko hiyo.Tuwe wapole tufanye mabadiliko kimya kimya.

0 comments:

Post a Comment