Thursday, January 21, 2016

Utafiti waonyesha ukosefu wa ajira kuongezeka ifikapo mwisho wa mwaka huu

Tatizo la ajira duniani linaweza ongezeka mwishoni mwa mwaka huu itafiti wa ILO umetabainisha hilo na inatarajiwa watu mil2.3 watapoteza ajira zao duniani kote na inaweza kuongezeka kwa makwa 2017 kufika mil 2.5.Sababu kubwa ni kudorora kwa uchumi na hivyo ubunifu wa ajira umepungua sana.Hili ni tishio hasa kwa nchi maskini ambao vijana wengi wamekuwa wakitegemea ajira za kuajiriwa ambazo zimekuwa zikipungua siku hadi siku kutokana na kukosa viongozi bora na serikali ambazo hazina utawala bora zikibujikwa na matumizi mabaya ya fedha za umma(rushwa.

Stock Photo - Man search job. Fotosearch - Search Stock Photography, Print Pictures, Images, and Photo Clip Art

0 comments:

Post a Comment