Tuesday, January 5, 2016

JE WEWE UNALALAJE?ANGALIA MITINDO TOFAUTI YA ULALAJI NA MAANA ZAKE

Jinsi unavyo lala inaweza kukupa faraja(ukapata usingizi mzuri na ndoto njema) au ukalala kwa taabu(ukiota ndoto mbaya na zakutisha).Mtaaalumu VAN ameefanya utafiti na kutoa matokea ya jinsi unavyolala.

UKILALIA KUSHOTO
Kuna uwezekano mkubwa  wa kuota mandoto ya ajabu na kuamka huku una weweseka kwa jinsi ya mambo mabaya yanayokutokea unapolalia kushoto,hii imethibitishwa kwa asilimia 40% kwa wale wanaolala mtindo huu.



UKILALIA KULIA

Uwezekano wa kuamka na faraja kwani unalala vizuri huku ukijisikia uko salama kabisa na kupata ahueni nzuri kabisa
woman enjoying restful sleep. Photo credit: © Can Stock Photo Inc. / dnfstyle.


UKILALA KUELEKEA MBELE

Haya mara nyingi wanakuwa wanapata ndoto au mawazo yanayohusiana na mapenzi 

Tokeo la picha la front sleeping stlye

Hivyo ni muhimu kuangalia jinsi unavyolala ili uweze kupata usingizi mtamu na nyororo.


0 comments:

Post a Comment