Thursday, January 14, 2016

BAADA YA DAVID BOWIE KUFARIKI MUME WA CELINE DION NAYE AFARIKI

David Bowie mwanamuziki maarufu wa Rock aliyefariki wiki kwa ugonjwa wa Kansa akiwa na umri wa miaka 69.

Tokeo la picha la david bowie

Davis Bowie

Mume wa Celine Dion naye amefariki jana kwa ugonjwa wa kansa akiwa na miaka 73(Rene Angelil) ambaye wameishi nae kwa zaidi ya miaka 20 ni huzuni Mungu ametoa na ametwaa.

hhh
Rene enzi hizo na na Familia yake

0 comments:

Post a Comment