Sheria mpya ambayo iko mbioni kutumika itatoa ruhusa kwa wananchi wa China sasa kuweza kuzaa watoto wawili tu.Ikumbukwe hapo mwanzo kulikuwa na zuio lakuwa na mtoto mmoja kama njia ya kupunguza idadi ya wachina ambayo ni moja kati ya mataifa ulimwenguni yenye idadi kubwa kabisa ya watu ambayo ilitolewa mwaka 1970.Na hii imekuja baada ya kuonekana baada ya miaka 15 Uchina itakuwa na kikazi cha wazee tuu.
WIZARA YA ARDHI YAINGILIA KATI SAKATA LA ENEO LENYE MGOGORO GEITA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa
matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibw...
3 hours ago






0 comments:
Post a Comment