Jacob Zuma-Rais wa Afrika Kusini
Rais Zuma wa Afrika Kusini ameutangazia umma wa wanafunzi walio kuwa nje ya ofisi yake kuwa karo kwenye vyuo vikuu haitaongeka tena baada ya maandamo makubwa kutokea nchini humo tangu kumalizika kwa ubaguzi wa rangi 1994.Kabla ya hapo ilipendekezwa serikali ilikubali kuongeza ada kwa 6% kupinga ile ya iliyopendekezwa na wasimamizi wa vyuo kati ya 10% na 12%.Hivyo basi hakutakuwa na ongezeko lolote kwa mwaka wa masomo 2016.Kweli mabadiliko yanahitaji umoja wameweza bila ya kuangalia tofauti zao kati ya Raia wenye asili ya kizungu na kiafrika wote walijumuika katika maandamo hayo.
Wanafunzi wakiwa katika maaandamo kabla ya kukubaliwa ombi lao.
0 comments:
Post a Comment