<div style="text-align: justify;"> Waswahili hupenda kusema muda umetaradadi zikiwa zimebakia siku 9 kabla ya wananchi wa Taznania kufanya maamuzi juu ya kiongozi wao wa nchi.Mambo yanaendelea Kwa wagombea wenye wafuasi wengi huku Lowassa akitoa onyo kwa NEC baada ya mambo kadhaa kuibuka kama sintofahamu katika daftari la wapiga kura na kauli za kuingilia NEC katika kazi zake katika kipindi hichi kabla ya uchaguzi huku matamko yenye utata yakitolew na viongozi wakuu wa serikali.Lakini kwa upande wa Magufuli yeye bado anaendelea na kampeni huku akiahidi mambo mengi tuu kama kuwapa mikataba mawaziri atakao wateua na nyengine nyingi.
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA GHANA MHE. JOHN MAHAMA
-
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
,leo tarehe 07 Januari 2025 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania...
4 hours ago
0 comments:
Post a Comment