Yanga leo imelazimishwa sare na Azam katika mchezo uliokosa ufundi kwa timu zote.Yanga ilipata bado lake kupitia kwa Donald Ngoma katika kipindi cha kwanza huku Kipre Tchetche aliyeingia alisawazisha katika kipindi cha pili
Huko Mbeya Simba iliitambia Mbeya city baada ya kuiifunga bao moja kupitia kwa Juuko Murshid.Kwa matokeo hayo Yanga inaendelea kuongoza huku Azam ikifuatia na Simba ni ya tatu.
JUMANNE YA KUPIGA PESA NA UEFA HII HAPA.
-
LIGI ya mabingwa barani Ulaya, UEFA leo hii kupigwa mechi za Play-off
ambapo wewe sasa nafasi ya kupiga mkwanja wa maana upo. Weka timu zako za
ushindi n...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment