Twaweza sema tatizo la ajira sasa linakuwa janga ndani ya serikali nyingi za africa huku wahitimu wengi wakiwa wanahaha kutafuta ajira ambazo zimekuwa ni adimu sana katika kipindi hiki.Hii imepelekea serikali nyingi kuelekeza wahitimu watumie fursa walizo nazo waweze kujiari.Hivyo kuelekea hili vyuo 16 vya Afica vimekutana mjini Arusha kupanga mikakati jinsi ya kuwasaidia vijana wanaohitimu katika vyuo,waweze kujiajiri badala ya kusubiri ajira pekee.Hakika hili linapaswa kusimamiwa ili kubadili akili za wahitimu wengi ili kuwafanya wajisiri na kuweza kujiari na kupunguza tatizo la ajira
JUMANNE YA KUPIGA PESA NA UEFA HII HAPA.
-
LIGI ya mabingwa barani Ulaya, UEFA leo hii kupigwa mechi za Play-off
ambapo wewe sasa nafasi ya kupiga mkwanja wa maana upo. Weka timu zako za
ushindi n...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment