Friday, October 9, 2015

HABARI NJEMA KWA WANANDOA IMEGUNDULIKA:NJIA SALAMA NA SAFI YA KUPATA MIMBA NI PALE MWANAUME ANAPOKUWA JUU YA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA NDOA

Hii inaweza ikawa habari njema kwa wanandoa wanaohangaika au wanaotafuta kupata mtoto wao wa kwanza,katika siku za karibuni hasa Tanzania wimbi kubwa la wataalamu wa miti shamba wamekuwa wakija na dawa ili kuwezesha wanandoa kupata mtoto.Lakini kumbe tatizo laweza kuwa jinsi ya mtindo wanao tumia wakati wa tendo la ndoa kwa wale ambao wanajua mitindo mbali mbali wakati wa tendo la ndoa wengi hawapendi mtindo huu lakini Doctor Marilyn Glenville(fertility expert)mtindo huu wa mwanaume kuwa juu unamatokeo mazuri zaidi katika kumuwezesha mwanamke kupata mimba kwani mbegu za kiume zina uwezo kwa kupenya vizuri kwenye uke na mirija ya fallopiani tube ingawa hii bado ni theory.Mtindo wowote kwa mwanamke kuwa juu ya mwanamke au mtindo wowote ule unazuia mbegu kushindwa kusafiri vizuri zaidi.Ni vizuri kuzingatia mitindo mizuri ambayo itawezesha kuzidisha hali ya kupata mimba kama wanandoa wamepanga kupata mtoto na kuacha mitindo ambayo inazuia nafasi hiyo kutokea.

0 comments:

Post a Comment