Sunday, November 1, 2015

WIZKID APAGAISHA NA KUPAGAWA JANA USIKU LEADERS HUKU DIAMOND,BELLA,FID Q BALAA.

Hakika jana ulikuwa usiku wa burudani kabambe baada Watanzania kupata show kali kutoka kwa Wizkid ilikuwa kama mida ya saa nane kasoro hivi mpaka saa tisa na robo wakati makali huyo alipopanda nyukwani na kutoa buruduni kabambe na kuwapagaisha Watanzania.Licha ya kutoa burudani Wizkid naye alipagawa na mashabiki wa bongo na neno I LOVE U SO MUCH alikuisha mdomoni kwake na kuahidi kuwa leo atatoa show ya bure na hatorudi kwao kama alivyopanga ila atapost kwenye twitter na Instragram.






Wizkid akipagawisha leaders jana usiku.

Jamaa alisindikizwa na Diamond,huyu mshikaaji mwacheni apige mtonyo mambo anayoyafanya kila mtu alimkubali katika show nzuri aliyofanya,hali kadhalika Christian Bella na Fid Q wote walipiga live kweli KING SOLOMONI HALL waliamua kuleta burudani ya uhakika na kuepuka milolongo ya wanasanii wengi.Hii ni show kali nilizopata kuhudhuria bongo mziki safi,wanamuziki safi itakumbukwa.

King of Best Melodi Christian Bella na Malaika Bendi



                        Diamond akifanya yake jana usiku.

.

                                                         Fid Q laivu leaders



0 comments:

Post a Comment