Monday, December 21, 2015

ARSENAL YAICHAPA MANCHESTER CITY JANA USIKU,OZIL MAN OF THE MATCH

Mesut Ozil "Man of the Match" aliweza kutengeneza nafasi mbili kwa Walcott dk 33 na Olivier Giroud  45 na kuweza kuilaza Man City 2-1 katika uwanja wa Emirates.Kwa matokeo hayo Arsenal imeendelea kushikilia nafasi ya 2 katika msimamo wa ligi kuu.Yaya Toure alifunga goli dk 82

Ozil na Walcott wakishangilia goli

Yaya Toure
Yaya akizozana na refa

0 comments:

Post a Comment