Wednesday, December 30, 2015

MKALI WA WIMBO WA DURO TOKA NIGERIA TENKOMILES YUPO DAR KWA MKESHA WA MWAKA

Mkali wa Tenkomiles toka Nigeria yupo jijini Dar tayari kuwasha moto katika tamasha la mkesha wa mwaka litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Kingsolomoni.Jamaaa akiwa anatamba na wimbo wake wa DURO. Hakika si pakukosa ili uwezw kufunga mwaka 2015 vizuri kwa burudani kutoka kwa mkali huyo huku tiketi ni 40,000/= kabla ya saa tisa na baada ya hapo ni 70000...

LIVERPOOL YAIPIGA SUNDERLAND

Christian Benteke shujaa akiwa na kundi la wachezaji wenzake baada ya kufunga goli. Liverpool jana usiku waliishinda Sunderland kwa goli moja na kufikisha point 30 sawa na Manchester United.Shujaa wa jana alikuwa raia wa Ubelgiji Christian Benteke katika dk ya 46 alipofunga goli safi na kuipa Liverpool ushindi muhimu. Benteke akishinda goli. ...

RAISI MAGUFULI ATEUA MAKATIBU NA MANAIBU ZAIDI YA 50,HUKU MAPFOFESA NA MADOKTA WAKIONGOZA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;1. Katibu Mkuu KiongoziBalozi - Ombeni Sefue2. Katibu Mkuu IkuluPeter Ilomo3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala BoraDkt. Laurian Ndumbaro4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)Dkt....

HALI YA KISIASA ZANZIBAR YAANZA KUZUA TAHARUKI TENA

Ni takriban miezi miwili tangu uchaguzi wa Zanzibar kuhairishwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jecha.Yamepita mengi kwa kipindi chote huku mikutano ikifanyika mara kwa mara kutafuta suluhu.Huku kukiwa na tangazo kuwa kuanza kwa maandalizi ya uchaguzi hatua hiyo ambayo imeendelea kupingwa na CUF wakidai haiwezi kufanyika wakati maazungumzo bado yanaendelea. Kwa matamko haya ya CUF yameendelea kuleta hali ya sintofahamu kwa wananchi wa Zanzibar.Ni...

MANCHESTER CITY YATOSHANA NGUVU NA LEICESTER

Man city jana usiku ilishindwa kupata pointi tatu kutoka kwa Leicester baada ya kutoka sululu.Matokeo hayo yamekuwa faraja kubwa kwa Arsenal ambayo inaendelea kushika usukani wa Ligi hiyo. Mtifuano kati ya wachezaji wa man city na leicest...

Monday, December 28, 2015

MATOKEO YOTE YA PREMIER LIGI YALIYOCHEZWA JANA USIKU

MON 28 DEC 2015 - PREMIER LEAGUE Crystal Palace0 - 0SwanseaFT Everton3 - 4StokeFT Norwich2 - 0Aston VillaFT Watford1 - 2TottenhamFT West Brom1 - 0NewcastleFT Arsenal2 - 0BournemouthFT Man Utd0 - 0ChelseaFT West Ham2 - 1SouthamptonFT ...

ARSENAL YAKWEA KILELENI LIGU KUU UINGEREZA ,OZIL MOTO NI ULE ULE

Timu ya Asernal baada ya kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa Southphotn imejirekerebisha na kupata point ya ziada kuwapiku Leicester.Leicester wanacheza na Manchester City leo mchezo muhimu kwa timu a zote mbili. Magoli ya Arsenal yamefungwa na Gabriel 27' na Ozil 63',Wenger ameendelea kumsifia mchezaji wake Mesut Ozil kwa kiwango anacho kionyesha msimu huu.Ozil amekuwa mtu muhimu kwa kila goli la Arsenal msimu huu. Gabriel akishangilia...

MAGUFULI AWAAPISHA KINA MAGHEMBE NA WENZAKE KUANZA KAZI RASMI

Raisi Magufuli leo amewaapisha Mawaziri na Manaibu ambao aliwateua katika zile Wizara ambazo zilikuwa bado hazijapata watendaji hao.Mawaziri hayo ni 1.Profesa J Maghembe-Waziri Maliyasili na Utalii 2.Dkt Philip Mpango-Waziri wa Fedha na Mipango 3.Mhandishi Gerson Lwenge-Waziri Maji na Umwagiliaji 4.Dkt Joyce Ndalichako-Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi 5.Hamad Masauni-Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi 6.Prof Makame...

Sunday, December 27, 2015

MBWANA SAMATTA KARIBU KUTUA UBELGIJI KATIKA KLABU YA GENK

Hatimaye Mbwana Samatta anaweza kucheza ligi ya Ubelgiji katika klabu ya Genk na kuweza kutimiza ndoto yake ya kucheza ulaya kwa mara ya kwanza.Mbwana Samatta safari yake haikuwa rahisi kama tunavyoweza ila bidii ndio imemfikisha hapo alipo kukaa ndani ya Timu yenye vipi tofauti TP MAZEMBE si mchezo hatuna budi kumtakia heri kama atafanikiwa kwenda GENK. ...

MECHI ZA LIGI KUU UINGEREZA KUENDELEA LEO,RATIBA YOTE HAPA

Crystal PalacevSwansea15:00 EvertonvStoke15:00 NorwichvAston Villa15:00 WatfordvTottenham15:00 West BromvNewcastle15:00 ArsenalvBournemouth17:30 Man UtdvChelsea17:30 West HamvSouthampton17:30 ...

MASTAA WALIVYOKULA BATA KIPINDI CHA XMAS

Mastaa mbalimbali walisherekea sikukuu ya Xmas kwa kula Bata sehemu tulivu katika sehemu tofauti ndani ya Dunia yetu. Rihanna alikuwa katika fukwe za Barbados Justine akifurahia sikukuss na rafiki zake Mariah Carey na Father Xmas(santa cruz) Christina Aguilera na mti wa xmas w...

Tuesday, December 22, 2015

UPENDO WA AJABU KWANI BINADAMU WOTE NI SAWA

Katika hali ya sasa ambako kila kona ya dunia tunashuhudia mashambulizi ya kigaidi mengine yakihusisha utengano wa dini kati ya ya Waislamu na Wakristo.Hivi karibuni nchini Kenya kulitokea utekaji wa basi na magaidi wa Alshabab kwa lengo la kuwaangamiza wakristo wote ambao walikuwa Abiria baada ya kuwatangazia kuwa abiria wakislamu wako salama. Ndipo upendo na ubinadamu na ile dhana iliyojengwa kwa baadhi yetu kuwa waislamu ni wapenda machafuko ilipojizihirisha kuwa sio kweli ni mitazamo ya watu wabaya.Baada ya tangazo hilo baadhi ya wanawake...

Monday, December 21, 2015

ARSENAL YAICHAPA MANCHESTER CITY JANA USIKU,OZIL MAN OF THE MATCH

Mesut Ozil "Man of the Match" aliweza kutengeneza nafasi mbili kwa Walcott dk 33 na Olivier Giroud  45 na kuweza kuilaza Man City 2-1 katika uwanja wa Emirates.Kwa matokeo hayo Arsenal imeendelea kushikilia nafasi ya 2 katika msimamo wa ligi kuu.Yaya Toure alifunga goli dk 82 Ozil na Walcott wakishangilia goli Yaya akizozana na r...

ARSENAL NA MAN CITY JINO KWA JINO LEO SAA TANO USIKU KWA AFRIKA MASHARIKI

Asernal na Manchester City wanakutana leo katika mechi nzito wote wakiwa nadi  kibarua kigumu cha kusaka ubingwa ambao unachagizwa na upinzani mkubwa dhidi ya Leicister ambayo mpaka sasa ina point 38. Ni mechi ambayo kila timu inahitaji matokeo kwani kupunguza point kwa kinara wa ligi kwa sasa.Mchezo huo utapigwa majira ya saa tano kwa masaa ya Afrika Mashariki. ...

MIAKA MINNE YA UCHUMBA SUGU IMEKWISHA LAMPARD AMUOA CHRISTINE

Ni miaka minne tangu nguli wa soka wa England Frank Lampard walipoanza mapenzi na rafikia yake ambaye jana alikuwa mke kamili baada ya kufunga ndoa na mtangazaji Christine katika kanisa la Mtakatifu Paul jijini London. ...

Monday, December 14, 2015

CHELSEA KWA UNUKA TENA MOURIHNO ASEMA ANAHUJUMIWA ,LEICESTER YAPAA KILELENI

Diego Costa akijibishana Vardy Jana usiku Chelsea ilipata kipigo cha 9 kwenye ligi kuu nchini Uingereza,alikuwa mfungaji mahiri Vardy dk 34 alianza kuleta msiba na baadaye Mahrez dk 48.Na Loic Remy kufunga bao dk 77 la kufuta machozi kwa matokeo hayo Chelsea imeshuka mpaka nafasi 16 huku Leicester ikipaa mpaka nafasi ya 1 Mourihno kwa mara kwanza aliwashutumu wachezaji wake kuwa wanamsaliti na hawajitoi kikamilifu katika kutafuta ushindi na...

Saturday, December 12, 2015

NCHI YAANZA KWENDA MCHAKAMKA BAADA YA MAWAZIRI KUAPISHWA JANA,SIKIA BAADHI YAO NA KAULI ZAO

Siku ya Jumamosi ilikuwa ni siku maalumu kwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri kula kiapo kama ishara ya kuanza kazi ramsi chini ya kauli MBIU HAPA KAZI TU.Baada tu kuapishwa mawaziri walitoa matamko. 1.William Lukuvi-Waliojenga maeneo yasiyo rasmi waanze kutekeleza wajibu wao 2.Dr Kigwangala-Board yote ya hospitali ya Amana tukutane kesho saa 10 Wizarani kwa maelekezo zaidi 3.Ummy Mwalimu-Vyandarua vinunulie katika hospitali ya Mwananyamala...

AZAM,YANGA,SIMBA ZAPATA DROO LIGI KUU VODACOM,MATOKEO YOTE HAPA

Vodacom premier ligi iliendelea jana kwa michezo mbali mbali ila masikio na macho yalikuwa katika mechi kati ya Simba na Azam  taifa mjini Dar es salaam na Mgambo na Yanga Mkwakwani-Tanga.Matokeo yote SIMBA SC 2-2 AZAM FC KAGERA SUGAR 1-1 NDANDA FC MGAMBO SHOOTING 0-0 YANGA SC  MBEYA CITY 2-2 MTIBWA SUGAR STAND UNITED 0-2 MWADUI FC MAJIMAJI 1-5 TOTO AFRICANS ...